KWAHERI RAMADHANI

Enyi waja wa Mwenyezi Mungu! Mwezi wa Ramadhani ndio huo unatutoka, na hazikubaki isipokuwa siku chache sana.

Aliyeutumia ipasavyo amefuzu, ama yule aliyepunguza ndani yake akacheza basi siku hizi chache zilizobaki azimalize kwa wema,

kwani ubora wa amali ni mwisho wake. Kwa hivyo ongezeni juhudi katika siku chache hizi zilizobaki kwa kufanya amali njema

ili Mola wenu akusifieni mbele ya Malaika wake

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wasalla llahu alaa sayiduna Muhammad wa Alaa aalihi wa Sahbihi wa sallam

Mashairi ya Ramadhani

*Nisfu Shaabani

*Sayid al Istighfaar

*Fat'hi Makkah

*Funga ya Ramadhani

*Nishakula mimi