NYUMA YA
PAZIA
Kimeandikwa na Sheikh Muhamad Is-haq
Sidiqi Nadwi
Kimetafsiriwa na Ibn Karim
Kimetangazwa na Ansaar Muslim Youth center
Tanga, Tanzania
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehma Mwenye Kurehemu
Shukrani zote ni za Allah (S.W.T) aliyetukuka, na rehma na amani zimshukie Mtume wa mwisho Muhammad (S.A.W) bora wa viumbe vyote, na sahaba zake (RA.) na ahli zake (RA) na wafuasi wake wa haki.
Vitabu na vijitabu vingi vimeandikwa na Mashia hivi karibuni ili kuwapoteza
AhIu-Sunnah ambao si wajuzi wa dini
Muhammad Is-haq Siddiqi Nadwi
Uislamu ndiyo dini ya peke ambayo Allah (S.W.T) kwa rehma yake amewapa waja wake neema hiyo aliyoteremshiwa Mtume Adam (AS.) baba wa wanadamu
Kuna manabi na mitume -wengi waliotumilizwa baada ya Nabi Adam (AS) ambao walihubiri kulingana na maagizo waliyopewa. Allah (S.W.T) aliendelea kutuma mitume baada ya Adam (AS) mwishowe ikawa ni kuleta mtume wamwishona kitabu cha mwisho Al-Quran iwe ni muongozo kwa binadamu hadi siku ya mwisho.
Mtume Muhammad (S.A.W) aliishi miaka kumi na mitatu katika Makka akitumia nguvu zake zote kueneza dini ya Kiislamu.Wakazi wa Makka kama wakazi wengi wa bara la Arabuni, walikuwa washirikina wakawa Sahaba (R.A) zake na Wakagura (wakahama) naye hadi Madina. Hapo Madina kabla ya kuja Uislamu kulikuwa na makundi mawili ya kidini; washirikina na Mayahudi.
Washirikina
walikuwa makabila mawili -Aus na Khazraj ambao baada
ya kusilim waliitwa Answar. Mayahudi kwa kuwa wakijua
hali ya mambo na kwa kuwa walipewa Taurat basi wao walihisabiwa kuwa ni bora
kuliko washirikina ambao hawakuwa wasomi. Mayahudi walitumia hila
Na zaidi ya hayo Mayahudi ndio waliotawala uchumi na walikuwa wasimamizi wa Riba, na hao washirikina walishikilia kazi ya ukulima. Mayahudi waliweza kujiendeleza kiuchumi kwa kuwapa washirikina mikopo huku wakiwatoza riba kwa asili mia kubwa.
Idadi kubwa ya
watu wa makabila ya Aus na Khazraj wakawa wafuasi
halisi (Masahaba) wa Mtume (S.A.W) kabla ya kugura (kuhamia) Madina. Jambo
Mayahudi walishangazwa
kwa kuja Mtume katika kizazi cha Bani Ishaq kwani wao
siku zote walidhania Mtume huyo wa mwisho a1iyebashiriwa katika Taurati
angekuja katika ukoo waBani Ismail. Baada ya bishara hiyo ya hakika kuwafunukia,
baadhi ya Mayahudi walisilimu kidhati lakini wengi wao hawakuweza kuepukana na husda, chuki na uadui wao dhidi ya Uislamu ndipo wakawa
maadui wa Mtume (S.A.W). na
Walijua kiyakini ikiwa Waislamu wazamazao hawatokubali zile propaganda zao dhidi ya Masahaba (R.A.), basi vizazi vijavyo wataanguka katika mtego wao. Mayahudi walianza kuwazulia Masahaba(R.A) na kutunga kila aina ya uongo ili kuharibu hadhi za Masahaba (R.A.) ikiwa moja wapo ya njama zao. Allah (S.W.T) mwenyewe akaokoa sifa njema za Masahaba (R.A) na akathibitisha kwa kauli Yake mwenyewe usahihi wa Qur'ani, hadithi za Mtume (S.A.W) na akazifichua nia mbaya za wanafiki.
Mayahudi walifukuzwa
Arabuni kwa zile tabia zao dhidi ya Uislamu, kuleta
rabsha na uharamia. Basi wakapata himaya huko Sham,
Kwa kutumia
'uwalii' wa uongo aliweza kupata wafuasi wengi kwa
muda mchache, hasa wale waliosilimu karibuni ambao hawakuwa na ujuzi wamafundisho
ya Kiislamu au elimu
Ushia vilevile unajulikana kwa jina Ia mwanzilishi wake "USABA!" Kuna ushuhuda madhubuti wa kihistoria kuhakikisha kuwa Uyahudi ndio chanzo cha
Ushia na
muasisi wa dini hiyo ni Abdalla Ibn
Vile vile
ilimlazimu kutia shaka usahihi wa Qur'ani. Kuweza
kuangamiza hali imara ya kisiasa ilimbidi apindue ukhalifa kwa
njia yoyote. Haikuwa ngumu kwa mtu mjanja
Baadhi ya Waislamu walijiunga naye hali kutojua na wengine kwa thamani ya pesa. Mipango dhidi ya Uislamu ilianzishwa kwa utaratibu. Mwanzo kabisa aliwateka akili kwa kuwafundisha imani na itikadi zisizoshikamana na Uislamu huku akiwapa fikra kuwa yale aliyowafundisha ndiyo Uislamu sahihi na wale wasioyafuata ni maadui wa Uislamu. Kwa mahubiri yake aliweza kupata wafuasi wengi kwenye kundi la kisiri Ia siasa likishirikisha dini ili kusambaza itikadi zisizolingana na Uislamu na kuumaliza ukhalifa kwa kutumia sanaa ya ulaghai na usaliti.
Kila dini
inapendekeza kanuni ya nidhamu kwa wafuasi wake na
kanuni hiyo ni maamrisho na makatazo. Lakini hakuna dini yoyote iliyopendekeza na kukubali kusema uongo, udanganyifu, kusengenya na nyengine
mithili ya hizo. Kwa vile dini ya Ibn Saba haikuwa chochote
isipokuwa unafiki, yeye binafsi alitumia hila zote habithi akawasihi wafuasi
wake watumie hayo dhidi yaWaislamu. Alitumia njia tofauti ikitegema kule
walitoka na elimu
Kulingana na yeye ilikuwa ni wajibu wa kidini kupigana na yale matendo
mabaya Ali (R.A) aliyoyapata. Hakukomea hapo bali
aliendeleya kusema kuwa Ali (R.A) hakuwa binadamu, bali alikuwa ni kiwiliwili
cha Allah (S.W.T) kwa umbo Ia binadamu! Kwa vile lengo
Inafahamika kutokana na ushahidi wa kihistoria uliotajwa hapo awali kuwa Ushia ulianzishwa na Mayahudi ukiwa ni mwendo usioambatana na Uislamu na lengo kuu lilikuwa ni kuharibu mafundisho hasa ya Uislamu, na kufuta imani tukufu ya Uislamu ili kumaliza umaarufu wake
Kwa jumla, inaitakidiwa
na Waislamu na pia wasiokuwa Waislamu duniani kuwa
Ushia ni pote la Uislamu na kuwa hakuna tofauti katika misingi ya imani ya Kisunni
na imani ya Kishia. Itikadi hii ni ya makosa mno na
inaonyesha namna Waislamu
Masunni walivyo wajinga juu
ya dini
Utafiti wa dini ya Kishia utabainisha wazi kuwa, badala ya kuwa pote
katikaUislamu, Ushia ni dini ya kipekee na iliyo tofauti na Uislamu wa Masunni.
Kwa hakika Ushia ni pote Ia Uyahudi ambao uliimarishwa
kierevu kwa kutumia jina la Uislamu ili uende sambamba na Uislamu. Hii ilikuwa ni katika njia ya kuwahadaa Waislamu kutoka kwenye
mafundisho
Ushia unakanusha misingi yote na itikadi tukufu ya Uislamu. Mashia wanadai kuwa ni Waislamu, lakini itikadi zao hazikufarikiana na misingi ya mafundisho ya Uislamu tu bali pia ni uadui, uvunjifu na uchochezi kwa Uislamu na Waislamu. Madondoo kutoka kwenye vitabu vyao vyenyewe vya kidini, ambavyo vinakubaliwa na maulamaa wote wa kishia kuwa ndivyo vyenye uthabiti na vya kutegemewa.yatatoa ushahidi wa kutosha kuthibitisha kuwa Uislamu wao si Uislamu bali ni usimango wa Uislamu.
Kuna vyanzo
viwili pekee vya elimu yote ya Uislamu: ya kwanza ni
Quran Tukufu na nyengine ni Sunna ya Mtume (S.A.W). Qur'an Tukufu, ambayo ni neno
Ia Allah (S.W.T) ndiyo muhimu zaidi na chanzo chenye neno tamma cha elimu,ambapo
Sunna za Mtume (S.A.W) zinafuatia na zimeambatana na elimu na mafundisho ya
Quran Tukufu. Sisi Waislamu tunaitakidi kuwa Quran Tukufu,
Kuitaikidi
ukamilifu, usafi na uthabiti wa Quran Tukufu, ni
itikadi ya msingi na imani ya wajibu ya Uislamu. Itikadi hii ni
muhimu
Wanaitakidi kuwa mabadiliko chungu nzima na maongezo yalifanywa kwenye Quran kabla ya kukabidhiwa vizazi vilivyofuata. Wanaitakidi kuwa Quran Tukufu ilitiwa maneno yasiyokuwemo na Masahaba (R.A) wa Mtume (S.A.W).
Maulamaa na
Mujtahidi wa Kishia ambao wanatambuliwa na takriban Mashia wote ulimwenguni
kuwa ndio wenye kutegemewa zaidi na wenye uthabiti kwenye kazi zao, wameandika
kwenye vitabu vyao kwa maneno waziwazi kabisa kuwa Quran Tukufu
Hata hivyo,
kabla sijatoa madondoo kutoka kwenye vitabu vyao, ningependa kuwaomba wasomaji
wajiulize wenyewe: Mashia, ambao wanaitakidi kuwa Quran Tukufu imefanyiwa
mabadiliko na kutiwa maneno yasiokuwemo, kweli wanaitakidi
Qurani Tukufu
Tabia zao njema na uadilifu wao ulioambatana na njema zao nyingi nyinginezo, hauonyeshi ubora wao wenyewe pekee, bali hata sifa za uongozi wa bwana Muhammad (S.A.W), ambae kutokana na mafundisho yake Masahaba (R.A) hao walipata sifa hizi. Tabia zao ni bora na mfano mwema kwa Waislamu wote ulimwenguni. Hawa ndio Masahaba (R.A) waliokabidhiwa wadhifa wa kuihifadhi na kuifundisha Quran Tukufu.
Sisi Waislamu
twamshukuru Allah (S.W.T) kwa kuwakabidhi wadhifa au
jukumu
Kulingana na vitabu muhakkam vyadini ya Kishia, Masahaba (RA) wote isipokuwa waliotajwa hapo juu,walibadilisha imani zao na wakawa makafiri baada ya kifo cha Mtume Muhammad (S.A.W)
Anasema mwandishi wa Rijal-eKashi', mmoja kati ya maulamaa wa kuaminika katika Ushia:
"Watu wote
walikuwa makafir isipokuwa watatu ambao ni Salman,
Abudhar na Miqdad.” (UK. 8) maneno hayo yametajwa Katika
Hili ni dondoo moja tu kutoka kwenye kitabu cha Shia kuonyesha
fikra ya Mashia juu Ya Masahaba (R.A). Vitabu vya Maulamaa wa Kishia
vimeambatana na tarifa
Dai la Mashia kuwa wanaiamini Quran Tukufu ni unafiki mtupu uliodhamiriwa kuwahadaa Waislamu. Vipi Mashia wataiamini Quran Tukufu hali wanawachukulia wakusanyaji wake kuwa wanafiki, wasioamini, makafiri na maadui wa Uislamu? Kwa hivyo inaweza kusemwa kuwa Mashia wanaitakidi Quran Tukufu kinafikitu na wanafanya Taqiyya (ruhusa ya kuhadaa). Kwa hakika ni maadui wa Quran Tukufu lakini kwa sababu ya umbile lao la Uyahudi hawailaumu.