Mtandao Mawaidha.info

 

 

HADISHI ZA UONGO

 

 

Upambaji wa Ibilisi

Siku ile alipofukuzwa Peponi na kutolewa katika rehma ya Mwenyezi Mungu, Ibilisi aliapa kuwa atazifisidi ibada za wanadamu na kuwakalia juu ya kila  njia iliyonyoka...Endelea

 

Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swallah Llahu alayhi wa sallam) alikuwa mwanzo wa hutuba zake akitamka maneno haya: "Na shari ya mambo ni kuzuwa mepya (katika dini), na kila uzushi ni Bid’ah na kila Bid’ah ni upotovu na kila upotovu mahali pake ni Motoni..Endelea

 

 

 

Hadithi ya Al Jassaasah

Utafiti mwingi uliofanywa na wazungu wenye kufuatilia mambo ya ulimwengu wa Mashariki (Orientalists) juu ya dini ya Kiislamu na juu ya Mtume wa Waislamu katika nadharia zao wanaitakidi kuwa mengi kati ya yaliyomo ndani ya mafundisho ya dini ni miongoni mwa itikadi zilizokuwepo wakati ule alioishi Mtume (Swallah Llahu alayhi wa sallam)...Endelea

 

 

MAKABURI MSIKITINI

Kuna baadhi ya kauli zilizotolewa na baadhi ya watu kuwa Haajar na baadhi ya Mitume (‘Alayhimus Salaam) wamezikwa ndani ya Msikiti wa Makkah, na kwamba maneno hayo yameandikwa katika vitabu vya historia.Bila shaka yoyote mwenye hoja hii anaelewa wazi kabisa kuwa waandishi wa historia hawajiwekea shuruti za usahihi wa hadithi zao...Endelea

 

 

Makosa ndani ya Swala

Utulivu (Tumaaniyna) ni nguzo muhimu sana katika nguzo za Swala, na bila ya utulivu Swala haiwi kamilifu.
Siku moja Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Llahu alayhi wa sallam) alikuwa amekaa msikitini, akaingia mtu mmoja na kuswali. Baada ya kumaliza akainuka na kwenda kumsalimia...
Endelea

 

 

 

Mapishi

 
     
 
Uadilifu wa Masahaba

Wewe ni mgeni wa http://counter.digits.com/wc/-d/4/mawaidhakuzuru sahifa hizi

Wito kwa Shia wenye akili

Adabu na Tabia njema

Maulamaa wetu

Sunnah na Bid'ah

Nani Aliyekunja uso

Ukiyaonja Mapenzi (shairi)

Nasaha za Arusi - Shairi

 
 

Locations of visitors to this page