Assalaam alaykum
Namuomba Mola Jalali awazidishie imani
na subra katika kazi hii njema ya kuwazindua na kuwaongoza ndugu zetu
Waislam. AAMEEN
Nimelisoma shairi la Ndugu yetu All
Hajj Udii (Sauti Ya Nasaha) lenye anuwani “NGUO FUPI (SWALI) nikavutiwa
Swaleh Suheil Abeid
Gonga hapa ulisome shairi TUKAE
KIMYA KWANINI?