|
Ahlus Sunnah na Ahlul Bayt
Mmoja katika wana falsafa wa zamani
alisema:
“Haki yote haiwezi kumilikiwa na upande
mmoja, wala makosa yote hayawezi kuwepo upande mwingine, bali kila upande
husibu sehemu yake. Mfano wa kundi la vipofu waliopelekwa mbele ya tembo wakatakiwa
wamguse mwili wake, kisha kila mmoja,
Endelea |
Makosa ndani ya Swala
Utulivu ni nguzo muhimu sana katika nguzo za Swala,
na bila ya utulivu Swala haiwi kamilifu.
Siku moja
Mtume wa Mwenyezi Mungu
(Swalla Llahu alayhi wa sallam) alikuwa amekaa msikitini, akaingia mtu mmoja na
kuswali. Baada ya kumaliza akainuka na kwenda
kumsalimia Mtume wa Mwenyezi Mungu..Endelea
|
| Itikadi yetu juu ya Qur'ani
Imam
Shafi (Rahimahu Llah) alipoletwa mbele ya Khalifa Haarun Al
Rashiyd baada ya kusingiziwa uongo na gavana aliyekuwa
akitawala Yemen wakati ule, aliletwa akiwa amefungwa
minyororo mpaka shingoni
Baada ya kuulizwa masuali mengi na Khalifa huyo akamtaka aelezee
nini anachokijuwa juu ya Elimu ya
Baada ya kuulizwa masuali mengi
Endelea |
Aya Zilizodhulumiwa
Nimeamua kutafsiri
baadhi ya maudhui muhimu yaliyomo ndani ya kitabu hiki (juu
ya kuwa yote yaliyomo ni muhimu) kwa sababu ya kukithiri kufahamika
vibaya maana ya nyingi kati ya aya za Qur-aan tukufu kutokana
na ujinga uliokithiri kati ya Waislamu hasa katika wakati
wetu huu, na muhimu zaidi ni kuwa nyingi kati ya aya zilizofahamika
vibaya ni zile za misingi katika dini, na kwa
Endelea |
|
Aly na Ummu Kulthum
Kisa cha Umar (Radhiya Llahu anhu)
kunyanyua nguo ya Ummu Kulthum bint Aly (Radhiya Llahu anhu)
wakati wa kuposa na udhaifu wa Isnadi yake:-
Anasema Al Sheikh Abdul Rahman
Al Sahiym:
Imeelezwa na Saeed bin Mansur katika
Sunan yake kwa njia ya Sufiyan bin Amru Endelea |
Itikadi
ya Ahlus Sunnah
Aqida ya Ahlus
Sunnah ni sahili na nyepesi, haina tabu kufahamika wala haina
mikanganyo. Haina tabu kuisherehesha. Bali inafahamika na
mtu wa kawaida kama inavyofahamika na mtaalamu. Mtu yeyote
anaweza kuifahamu kwa wepesi kabisa..Vitabu vyao vya Hadithi kama
vile Bukhari na Muslim na vingine, pamoja na mafundisho ya a
Endelea |
|
Ghiyba
Kusudi la kuandika makala haya lilikuwa ni kuandika maudhui ya Ghiyba (kusengenya), kwani hayo ni maradhi yaliyoukumba umma, na wengi hawafahamu hatari yake na namna yanavyoweza kumpotezea mtu thawabu zake zote alizochuma kwa tabu ya kukesha huku akiswali na kufunga na kutoa sadaka na kusoma Qurani nk.
Endelea
|
Subhana
Llah
Tunapotufu, tunaizunguka Al Kaaba kuanzia jiwe jeusi tukiliwacha upande wetu wa kushoto, na maana yake ni kuwa;
tunaizunguka kwa njia hiyo mara saba kinyume na mishale (mikono)
ya s (anti clockwise).
Wataalamu wa sayansi wanasema kuwa kila chembe ya atomi (atom), ambazo ni viduchu vya kila kitu,
ndani yake mna electrons,
Endelea
|